Podcast Index

Podcasts

Explora podcasts por categoría, abre episodios recientes y descarga audio para escucharlo sin conexión.

SBS Swahili - SBS Swahili SBS Swahili - SBS Swahili SBS Toronto News Today | 2 Min News | The Daily News Now! Toronto News Today | 2 Min News | The Daily News Now! The Daily News Now! The Week in Review - EVN Report The Week in Review - EVN Report EVN Report Spirit Radio Podcasts Spirit Radio Podcasts Spirit Radio Podcasts The Buckeye Scoop The Buckeye Scoop Buckeye Scoop Real Talk with Zuby Real Talk with Zuby Zuby Sabuon worlds Sabuon worlds Sabuon Mr News Mr News Vco 24 Il Mondo Il Mondo Internazionale قراءة في الصحف الفرنسية قراءة في الصحف الفرنسية مونت كارلو الدولية / MCD Handelsblatt Morning Briefing - News aus Wirtschaft, Politik und Finanzen Handelsblatt Morning Briefing - News aus Wirtschaft, Politik und Finanzen Friederike Hofmann, Sven Prange und die Handelsblatt Redaktion, Handelsblatt Belfast News Today | 2 Min News | The Daily News Now! Belfast News Today | 2 Min News | The Daily News Now! The Daily News Now! Les actualités Cogeco Nouvelles Les actualités Cogeco Nouvelles Cogeco Média ThursdAI - The top AI news from the past week ThursdAI - The top AI news from the past week From Weights & Biases, Join AI Evangelist Alex Volkov and a panel of experts to cover everything important that happened in the world of AI from the past week Edmonton News Today | 2 Min News | The Daily News Now! Edmonton News Today | 2 Min News | The Daily News Now! The Daily News Now! Das Politikteil Das Politikteil DIE ZEIT Un tema Al Día Un tema Al Día elDiario.es Siste nytt fra VG Siste nytt fra VG VG Deutschlandfunk aktuell Deutschlandfunk aktuell Deutschlandfunk Chicago White Sox Today | 2 Minute News | The Daily News Now! Chicago White Sox Today | 2 Minute News | The Daily News Now! The Daily News Now! SBS Mandarin - SBS 普通话电台 SBS Mandarin - SBS 普通话电台 SBS P1 Morgon P1 Morgon Sveriges Radio HeuteMorgen HeuteMorgen Schweizer Radio und Fernsehen (SRF) Reality Life with Kate Casey Reality Life with Kate Casey Kate Casey Behind the Bastards Behind the Bastards Cool Zone Media and iHeartPodcasts FT News Briefing FT News Briefing Financial Times Singelkrisa Singelkrisa Med Marie My History Can Beat Up Your Politics My History Can Beat Up Your Politics Bruce Carlson Laurent Gerra Laurent Gerra RTL Elvis Duran and the Morning Show ON DEMAND Elvis Duran and the Morning Show ON DEMAND Elvis Duran Podcast Network and iHeartPodcasts Hood Politics with Prop Hood Politics with Prop Cool Zone Media and iHeartPodcasts Betrouwbare Bronnen Betrouwbare Bronnen Jaap Jansen - Dag en Nacht Media Tax Notes Talk Tax Notes Talk Tax Notes SBS Thai - เอสบีเอส ไทย SBS Thai - เอสบีเอส ไทย SBS Oppdatert Oppdatert NRK It Could Happen Here It Could Happen Here Cool Zone Media and iHeartPodcasts Alledaagse Vragen Alledaagse Vragen NPO Luister / BNNVARA
SBS Swahili - SBS Swahili

Noticias

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

'Elimu kama chombo cha matumaini': Mwanafunzi mkimbizi Alina kuhusu kujenga upya maisha yake nchini Australia

July 02, 2026 11:40pm 14 min

Wanafunzi wakimbizi wanajenga upya maisha yao nchini Australia kupitia mpango mpya wa majaribio ya makazi, unaounganisha masomo yao ya chuo kikuu na viwanda ambapo kuna uhaba mkubwa wa wafanyakazi kama vile uuguzi.

Taarifa ya Habari: Wanafunzi wanane washitakiwa kwa mauaji Kenya

July 02, 2026 2:12am 6 min

Polisi wamewakamata vijana wawili baada ya mvulana wa miaka 15 kuachwa afe nje ya kituo cha matibabu cha jamii mjini Melbourne.

DR Congo yawapa mamilioni fahari

July 01, 2026 9:18pm 13 min

Mwaka huu DR Congo ilimaliza ukame wakuto shiriki katika Kombe la Dunia la FIFA baada ya zaidi ya miaka 50.

Taarifa ya Habari: Mamilioni ya Waustralia kuamka kesho Julai 1 kwa mishahara ya juu na kodi ya chini ya mapato

June 30, 2026 1:27am 13 min

Bei ya petroli imeshuka hadi viwango ambavyo havijaonekana tangu mwanzo wa 2022. Taasisi ya Petroli ya Australia inasema wastani wa kitaifa wa lita moja ya mafuta yasiyo na risasi ulishuka zaidi ya senti 6 wiki iliyopita...

Wajerumani na Waholanzi watupwa nje ya Kombe la Dunia 2026

June 30, 2026 1:16am 6 min

Siku ya 19 ya Kombe la Dunia la FIFA ilijumuisha mechi tatu za mchujo zenye ushindani mkali, huku Ujerumani na Uholanzi zikiondolewa baada ya mikwaju ya penati, wakati huo huo Brazil ilinyakua ushindi katika mechi yao mu...

Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakujiunga na soka jumuishi nchini Australia

June 29, 2026 10:44pm 14 min

Sio kutia chumvi tunaposikia kwamba Kombe la Dunia la FIFA lina tarajiwa kuleta dunia pamoja katika mwezi wa Juni. Baada ya yote, mpira wa miguu unajulikana kama mchezo maarufu zaidi duniani.

Taarifa ya Habari: Mkuu wa jeshi azuia shughuli za Nation Media Group nchini Uganda

June 29, 2026 12:02am 4 min

Shirika kubwa zaidi huru la habari nchini Uganda Nation media group limearifu kuwa limewekwa chini ya ulinzi mkali wa kijeshi mapema Jumapili.

Baranga"nakaribisha wanaume wote katika kongamano maalum, tujadili maswala muhimu kwetu"

June 26, 2026 11:44pm 7 min

Wanaume kutoka jumuiya za Afrika Mashariki wanao ishi jimboni New South Wales, wana jiandaa kwa kongamano maalum Jumamosi 27 Juni 2026.

Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho

June 26, 2026 1:51am 12 min

Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers anasema wafanyakazi, wanunuzi wa nyumba za kwanza na vizazi vijavyo watafaidika na sheria zenye utata za mageuzi ya kodi ambazo zimepitishwa hivi karibuni bungeni.Polisi warusha ma...

Australia yatinga raundi ya 32 baada ya sare yakutofungana dhidi ya Paraguayi

June 26, 2026 1:43am 4 min

Socceroos wamefanikiwa kufika hatua ya mchujo baada ya kupata sare yakutofungana katika Kundi D, wakati Ecuador ikiwaacha wajerumani vinywa wazi katika Kundi E na kufuzu kushiriki katika hatua ya timu bora 32.

Australia Yafafanuliwa:Bendera ya watu wa Visiwa vya Torres Strait:Ardhi,Bahari na Watu

June 25, 2026 11:52pm 9 min

Nchini Australia, unaweza ona bendera tatu zikipeperushwa pamoja: Bendera ya Taifa ya Australia, Bendera ya Waaborijini na Bendera ya Watu wa visiwa vya Torres Strait.

Taarifa ya Habari:Maelfu wahofiwa wamefariki baada ya tetemeko kubwa la ardhi katika mji mkuu wa Venezuela

June 25, 2026 2:16am 4 min

Hali ya dharura ime anza kutumika nchini Venezuela baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi, yaliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Caracas, na kuua watu wasiopungua 32 pamoja nakuwajeruhi mamia.

Can nature help tackle loneliness? - SBS Examines: Je, mazingira ya asili yanaweza kabili upweke?

June 23, 2026 9:19pm 9 min

In a recent study of LGBTQIA+ asylum seekers and refugees, nature was used not just as a meeting place, but as an environment where participants felt safe without being questioned or judged. - Katika utafiti wa hivi kari...

Yaliyojiri Afrika:Kasi yakuenea kwa ugonjwa wa Ebola kwa lazimisha serikali ya Congo kutoa tahadhari

June 23, 2026 2:42am 6 min

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.

Messi aweka rekodi yamuda wote yakufunga magoli katika Kombe la Dunia

June 23, 2026 1:48am 4 min

Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, akifunga mara mbili nakusaidia Argentina kuishinda Austria 2-0 mjini Dallas, na kujihakikishia nafasi ya kwanza katika Kundi J, pamoja na nafasi katika h...

Taarifa ya Habari:Mpango wa serikali wa kurekebisha NDIS waiweka pabaya bungeni

June 22, 2026 11:25pm 14 min

Chama cha Greens kimeita mpango wa serikali wa kurekebisha Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu kuwa sheria 'isiyo ya kibinadamu'.

SBS Learn Eng Ep 113 Jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi

June 22, 2026 10:53pm 9 min

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi?

Makala Leo: Labor yapambana kupitisha bungeni mageuzi ya NDIS na ushuru

June 22, 2026 10:37pm 10 min

Bunge la Shirikisho limerejea kwa vikao vya mwisho vya wiki mbili kabla ya mapumziko marefu ya majira ya baridi ya wiki tano.

Taarifa ya Habari:Wanaume wawili wafunguliwa mashtaka baada ya Polisi kunasa tani 2.7 za kokeni nchini Australia

June 21, 2026 11:44pm 5 min

Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.

Sasisho la Kombe la Dunia siku ya 8:Mexico yatinga hatua ya mchujo na Canada ya andika historia

June 19, 2026 1:46am 5 min

Mexico ime ingia katika hatua ya mchujo, baada ya kuishinda Jamhuri ya Korea katika siku ambayo iliadhimishwa na jeraha kubwa nchini Canada.

Envía tu emisora ​​favorita

Completa el formulario de abajo. Asegúrate de seleccionar tanto País como Géneros.

Nombre
Categoría
Mantenga presionada la tecla Ctrl (Cmd en Mac) para seleccionar varios.
URL de transmisión
Logo (JPG, JPEG o PNG)

Contáctanos

Envíanos un mensaje abajo. Te responderemos en un plazo de 24 horas.

Asunto
Tu nombre
Correo electrónico
URL de la emisora o de la página
Mensaje
Cuanto es 6 más 12?
También adjuntamos tu país, navegador, página actual y algunos datos técnicos para ayudarnos a investigar.